Find us on facebook

Pages

Follow Me.

Thursday, July 18, 2013

WANAWAKE WALIOVALIA KAMA MASISTA WAKAMTWA NA MADAWA YA KULEVYA

Wanawake watatu wamekamatwa kwa madai ya kujaribu kusafirisha dawa za kulevya kupitia uwanja wa ndege wakiwa

UMRI WA KUOLEWA SASA KUONGEZWA.

Mtakwimu Mkuu wa serikali ya

SIKU 100 ZA SERIKALI YA RAIS KENYATA

Mgomo wa walimu, kuzorota kwa usalama na uhasama wa

MZEE NELSON MANDELA AFIKISHA MIAKA 95

Leo ni siku ya kimataifa ya shujaa wa kupinga Ubaguzi wa Rangi Afrika Kusini, Nelson Mandela.
Rais mstaafu wa Afrika Kusini Nelson Mandela pia anaadhimisha siku ya kuzaliwa leo akitimiza miaka 95 akiwa bado amelazwa hospitalini.
Serikali ya Afrika Kusini imewaomba wananchi wake

Wednesday, July 17, 2013

PICHA YETU YA LEO UNAZIKUMBUKA ENZI HIZI KAMA WEWE UMEZIPITIA HASA WALE TULIOSOMEA VIJIJINI.

Sote tumetoka katika staili ya namna hii.wale wote ambao mlisomea shule tofauti na hizi hamna cha kusimilia juu ya hii picha.AMA KWELI POLE POLE NDIO MWENDO.Bila maisha ya hivi hata ukiwa kiongozi hautawajua ni kina nani wenye shida.Ila ninachojua mtu wa hivi apate nafasi ya kuwa kiongozi atawatetea wamyonge na masikini kwa sababu anajua ubaya na uzuri wake. 

HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO JULAI 17 2013.


Tuesday, July 16, 2013

KESI YA MAUAJI YA PADRI MUSHI JAJI AJITOA.


Kesi ya mauaji ya Padri Evarist Mushi imechukua sura mpya, kufuatia Jaji wa Mahakama kuu ya Zanzibar, Mkusa Isaac Sepetu kujitoa baada ya

Thursday, July 11, 2013

HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO JULAI 11 2013


MDAU:HAPPY BIRTHDAY ROBERT WILSON (BABA DEVIS)

MDAU KWA LEO ANASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA,WAFUATAO WNAMTAKIA MAISHA MAREFU NA YENYE BARAKA,AMANI ABDALLAH,FARID FAROUK,RICHALD CHALI,BIGILWAMUNGU ELPIDIUS,MUBAAH KATELA(THE BLOGGER),Pia BILA kumsahau mchumba wake ampendae MSUMBA NYAGANGA(MAMA DEVIS)
HONGERA SANA KIJANA WAHESHIMI BABA NA MAMA NA UMPENDE SANA MCHUMBA WAKO NA MTOTO WAKO PIA.

Wednesday, July 10, 2013

MAJINA YA WATAKAOINGIA KIDATO CHA TANO HAYA HAPA


Muhula wa kwanza kwa wanafunzi wa Kidato cha Tano kuanzia mwaka huu 2013 itaanza mwezi Julai. 


Wanafunzi wamepangwa katika shule zenye miundombinu na walimu kwa masomo husika. 


Aidha, kama baadae upungufu utajitokeza, wakuu wa shule wameelekezwa kufanya taratibu za kuazima walimu wa muda na kutoa taarifa kwa

Tuesday, July 9, 2013

MISRI HAKUKALIKI TENA.

Maafisa wa Afya Misri wamesema takriban watu 42 wameuawa kwa kupigwa risasi mjini Cairo nje ya kambi ya kijeshi ambapo wafuasi wa Rais aliyeondolewa madarakani Mohammed Morsi walikua

Monday, July 8, 2013

VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO JULY 9


HEBU CHEKI HIYO AJALI YA NDENGE MDAU WANGU

Ajali mbalimbali zimeendelea kutoka dunia hii ni Ajali ya ndege kutoka Asia kuelekea San Fransisco amabpo inasemekana katika Ajali hiyo vijana wawili wakichinma walipoteza maosha na Abiria 182 kujeluiwa Bfyya lnk hapo chini kucheki video hiyo.
http://online.wsj.com/article/SB10001424127887323823004578591422758092016.html?mod=world_newsreel#

WANAWAKE WAWILI KUTOKA TANZANIA WAKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA HUKO SOUTH AFRIKA TAZAMA VIDEO YAKE HAPA.









BAADA YA KESI YAKE KUAHILISHWA LWAKATARE ASEMA HAYA


KATIKA UKURASA WAKE WA FACEBOOK AMESEMA KWAMBA "Nimshukuru Mungu kwa siku njema ya leo na kwa ajili ya watanzania wote.
Leo ikiwa ni siku ya case yangu kusikilizwa Mahakama ya Mkazi Kisutu, nimereport pamoja na makamanda walionisindikiza. Case imehairishwa mpaka tarehe 22 July 2013.
Pamoja na hayo,mshitakiwa no.2 Ludovick Joseph ameshindwa kupata dhamana kwa sababu ya kutokukamilika kwa nyaraka za dhamana,hata hivyo dhamana yake iko wazi.
Tukiwa nje ya mahakama,kijana Ludovick ameonekana kuwa mnyonge na kulia sana akilalamika kutojishughulisha kwa ndugu zake(ambao hawakufika mahakamani) kufuatilia dhamana yake.
Nawatakia kazi njema na tusichoke kulitumikia taifa.
Peopleeeeeeeeeeees!"

Thursday, July 4, 2013

MDAU:HAPPY BIRTHDAY FARID FAROUK

                                TUNAKUTAKIA MAISHA MEMA NA YENYE BARAKA TELE.

MAGAZETI YA LEO JULY 4


PICHA:WAFUNGWA WANAVYOTESEKA GEREZANI

Hawa ni wafungwa huko nchini NIGERIA wakiwa Gerezani amabapo wamekuwa wakiishi kwa msongamano mkubwa sana huku wakilala kwa style ya aina yake.


BAADA YA RAIS MORSI KUPINDULIWA RAIS MPYA WA MPITO KUAPISHWA LEO

Jaji mkuu wa mahakama ya kikatiba nchini Misri Adli Mansour anatarajiwa kuapishwa kama rais wa mpito wa nchi hiyo baada ya jeshi kumng'oa madarakani rais Mohammed Morsi, ambaye ni kiongozi wa kwanza kuchaguliwa kidemokrasia nchini humo.Mkuu wa jeshi Generali Abdul Fattah al-Sisi alitoa tangaza hilo kupitia televisheini Jumatano jioni, katika kile Morsi, alisema

Wednesday, July 3, 2013

RIHANNA NA PICHA ZA UCHI SASA NI VIDEO YAKE


Baada ya Mwanadada RIHANNA kuwa na tabia ya kuweka picha za uvhi mtandaoni sasa Mwanadada huyo ameamua kutoa video yake hebu icheki hapao chini kwa kubofya link hapo chini mdau wangu
http://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=Y_zTy6icegU

WAPONA UKIMWI BAADA YA KUFANYIWA UPASUAJI

Wagonjwa wawili wameondolewa bughdha ya kutumia madawa ya kupunguza makali ya ukimwi maishani mwao baada ya kufanyiwa upasuaji na kupandikiziwa uboho wan binadamu au (Bone marrow), hatua inayosemekana kuondoa virusi vya HIV mwilini mwao.
Mgonjwa mmoja amesemekana kukaa kwa miezi minne bila ya kutumia madawa ya kupunguza makali ya ukimwi bila ya dalili ya kurejea kwa uogonjwa huo.

Matokeo ya utafiti huo yaliwasilishwa katika mkutano wa kimataifa kuhusu maswala ya Ukimwi.Madaktai waliofanya utafiti huo katika hospitali ya matibabu kwa wanawake ya Brigham nchini Marekani, wanasema ni

MISRI KWA FUKUTA RAIS MORSI SASA YAWEZEKANA AKAPINDULIWA

Hali ya taharuki imetanda Misri huku makataa iliyotolewa na jeshi kwa rais wa nchi hiyo Mohammed Mosri ikikaribia kufika ukingoni.
Kuna taarifa za kutofautiana kuhusu ikiwa jeshi litatoa taarifa punde baada ya muda huo wa masaa 48 aliopewa rais Morsi kutafuta suluhu ya mgogoro huo kutimia.
Maafisa wakuu wa serikali wako kwenye mkutano wa dharura nchini Misri, saa chache kabla ya muda wa mwisho ambao jeshi na upinzani zilimpa rais wa nchi hiyo Mohammed Morsi

PICHA ZA MATUKIO KATIKA AJALI YA BUS LA SAIBABA MKOANI PWANI WAKATI LINATOKA DAR ES SALAAM KUELEKEA SONGEA


LULU AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA TANGU ATOKE JELA

Kwa mara ya kwanza muigizaji wa filamu, Elizabeth Michael aka Lulu jana alifanya interview ya kwanza tangu atoke gerezani January mwaka huu. 
Lulu aliye na muonekano wa ‘udada’ zaidi alihojiwa jana kwenye kipindi cha

MSANII MAARUFU BONGO MOVIE ABAKWA

Kuna habari  mbaya  ambazo  zilianza  kusambaa  mtandaoni  jana.Habari  hizo  zinazomhusu  msanii  maarufu  wa  bongo  movie  ambaye  anadaiwa  kubakwa  (Mtungo ) na  wanaume  kadhaa.

Habari  hizo  zinadai  kuwa,

ALIYOYASEMA BARACK OBAMA AKIWA UBUNGO

President Barack Obama wa Marekani tayari amemaliza ziara yake ya siku mbili Tanzania ambapo sehemu ya mwisho kuitembelea ilikua Ubungo Dar es salaam ambako aliidhinisha mpango wa serikali yake wa dola

Tuesday, July 2, 2013

MAGAZETI YA LEO JULY 3 2013


MAUAJI YA DAUDI MWANGOSI WATUHUMIWA WAACHIWA HURU



MAHAKAMA ya Wilaya ya Mufindi imetupilia mbali mashtaka  yaliyokuwa yakiwakabili Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Hamad Yusuph na wenzake 42.

Kiongozi huyo pamoja na wenzake walikuwa wakikabiliwa na makosa matatu likiwemo la

MCHUNGAJI AFUNGWA MIAKA 30 JELA NA VIBOKO 12 KILA SIKU KWA KOSA LA UBAKAJI


FAMILIA YA MCHUNGAJI IKIONGEA NA MWANDISHI WA HABARI BAADA                    YA HUKUMU KUTOLEWA

MCHUNGAJI wa Kanisa la Evangelical Assemblies of God of Tanzania(EAGT) la Iwambi Jijini Mbeya Daniel Mwasumbi amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela na viboko 12 baada ya kukutwa na makosa mawili ya Kubaka na kumpa mimba Mwanafunzi wa miaka 19.

Akisoma hukumu hiyo Hakimu wa mahakama ya Wilaya ya Mbeya Ndugu Gilbert Ndeuruo amesema Mahakama imemtia hatiani kutokana na

PICHA;RAIS OBAMA ALIPOKUTANA NA BUSH KATIKA ARDHI YA TANZANIA.


GAZETI LA MAREKANI LAANIKA MAOVU YA TANZANIA

Tanzania imekosolewa na gazeti maarufu la Marekani wakati Rais Obama akipokewa kwa nderemo na vifijo.

Gazeti hilo maarufu nchini Marekani la The New York Times,limechapisha habari za kuonesha

TASWIRA KATIKA BARABARA ATAKAYOPITA BARRACK OBAMA JIJINI DAR ES SALAAM


Monday, July 1, 2013

KIMAMA NACHO CHAJITOSA KLABU NA KINGUO CHA AJABU HUKU KIKILA DANCE BILA WOGA.

Kimama au kibonge ambaye hakuweza kufahhamika mara moja alitimba club na kivazi cha ajabu huku akila dance bila woga vijana nao kwa kupenda mambo hawako nyuma nao wakaamua kusrebuk naye huyo mama.Kama unavyomuona naye ameonesha tumbo lake lilivyo la ukweli.