Find us on facebook

Pages

Follow Me.

Wednesday, May 15, 2013

KUTOKA NIGERIA

Rais JONATHAN  wa Nigeria atangaza hali ya hatari katika majimbo matatu ya kaskazini mwa Nigeria ambapo kundi haramu la Bhoko Haramu linalaumiwa kwa maafa yanayotokea katika majimbo hayo

HII NI PICHA YA MHESHIMIWA MEMBE AKIMKABIDHI DHAMANA YA UBALOZI WA HESHIMA WA BOTSWANA NCHINI TANZANIA.

Mheshimiwa Membe akiwa na Mheshimiwa Emmanueli Ole Naiko.

KITABU KIPYA JUU YA MATATIZO JUU YA VIJANA KATIKA KUTIMIZA MALENGO YAO.

Mwanafunzi wa chuo kikuuu cha Dodoma aitwae Mbaraka Katela anaesoma sheria mwaka wa tatu anatarjia kutoa kitabu chake juu ya matattizo yawakumbao vijana katika mafanikio yao.kitabu hicho kiko tayari kutolewa na punde kitakuwa mtaani

KITABU KIPYA JUU YA MATATIZO JUU