Find us on facebook

Pages

Follow Me.

Tuesday, May 21, 2013

(AUDIO) SIKILIZA NGOMA MPYA YA LINEX FT WYRE.

ANGALIA HIYO MTU WANGU UONGEZE SIKU ZA KUISHI.

HEBU CHUKUA TIME YAKO KUCHEKI HIYO.VERY FUNNY

VIDEO MKENYA AKILALAMA KWA NINI OBAMA AIBUKE TANZANIA NA SIO KENYA

BUKOBAWADAU : CHECK VIDEO MKENYA AKILALAMA KWA NINI OBAMA AIBUKE...

KUHUSU KINGUNGE KUZUSHIWA KIFO.

Taarifa za kuaminika ni kwamba Mzee Kingunge hajafariki dunia kama inavyotajwa na mitandao.ni mzima wa afya kabisa.chanzo cha habari millardao.com @millardayo.

MILUTIN MICHO ATEULIWA KUWA KOCHA MKUU WA UGANDA.

Kocha mwenye historia ya pekee katika ukanda wa Afrika mashariki na kati,Srodjevic Milutin Micho ameteuliwa kuwa

ALICHOKISEMA PROF J BAADA YA KUPOKEA KADI YA CHADEMA.

Profesa Jay amesema yeye ni mwanaharakati muda mrefu na amejiunga na amejiunga na CHADEMA rasmi leo lakini yeye ni mfuasi wa

MAJIBU YA VODACOM KUHUSU SAKATA LA MAGESA MULONGO NA LEMA.

KAMANDA wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas, amedai kuwa uchunguzi wa awali kuhusu ujumbe unaodaiwa kutumwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo, umetumwa na mtandao wa simu wa nje ya nchi.

PICTURE OF THE DAY.


BALE KUONDOKA TOTTENHAM.

  
Kocha Tim Sherwood wa Timu ya spurs amesema hakuna njia yoyote lazima Bale ataondoka kwa hiyo 

WAPIGANAJI WA BOKO HARAM WAKAMATWA.

Takriban wapiganaji 120 wamekamatwa katika mji wa Maiduguri, eneo la Kaskazini Mashariki mwa Nigeria wakati walipokuwa wanaandaa mazishi ya

TAARIFA YA CCM KWA VYOMBO VYA HABARI.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi,Nape Moses Nnauye ametoa taarifa kwa vyombo vya habari juu ya kikao kilichokaliwa na mwenyekiti wa CCM mjini dodoma.Na taarifa hiyo ni kama ifuatavyo

NYUMBA ALIYONUNUA JENNIFER LOPEZ

 Picha za nyumba ya mwanamuziki Jeniffer Lopez ‘JLo’ aliyoinunua hivi karibuni kwa bei

KUTOKA KWA KIPANYA.


WAPENZI WA BARCERONA HII INAWAHUSU.

                                   ITS NEW LOOK OF BARCELONA SPORTS WEAR

KUTOKA KWA LADY JAYDEE.

Majina ya watu 10 walioshinda complimentaries za show ya tar 31 May 2013 pale Nyumbani Lounge.
Kwenye utambulisho rasmi

WAYNEY ROONEY APATA MTOTO WA PILI.

Mwanasoka maarufu dunianai asubuhi ya leo kutokana na Gazeti la Daily News  kupitia twitter,mtoto huyo

MADRID YADHIBITISHA KUACHANA NA MOURHINHO.

Klabu ya Real Madrid imethibitisha kuwa kocha wa timu hiyo Jose Mourinho ataondoka kwenye kibarua cha kuifundisha timu hiyo mwishoni mwa msimu.

WASICHANA WATATU NA MAMA YAO WABAKWA NIGERIA.

Katika hali isiyo ya kawaida Nchini Nigeria wasichana watatu pamoja na mama yao wamebakwa wakati huo wakiwa wanatishiwa kwa bunduki.

MSEVENI AZUNGUMZA KUHUSU MASHOGA.


 Rais wa Uganda Yoweri Museveni, amesema wapenzi wa jinsia moja hawapaswi kuuawa au kudhalilishwa, huku wabunge wa nchi hiyo wakiendelea na mjadala wa kutathmini kuhusu muswada wenye utata wa kupinga wapenzi wa jinsia moja.

KUMBUKUMBU YA KUZAMA KWA MELI YA MV.BUKOBA

 Mnamo tarehe kama ya leo Mei 21 mwka 1996 meli ya Mv Bukoba ikiwa imebakiza km tkribani 54