Find us on facebook

Pages

Follow Me.

Thursday, May 23, 2013

UNASEMAJI KUHUSU PICHA HII WEWE KAMA MDAU WA NCHI HII YA TANZANIA


MTWARA BADO HALI MBAYA MWANAFUNZI APIGWA RISASI.MAMA AUAWA.

Katika hali isiyo ya kawaida mjini mtwara eneo la Magomeni duru za habari zinzharifu kuwa.

CHINUA ACHEBE KUZIKWA LEO NIGERIA.


Mwili wa mwandishi mashuhuri wa vitabu barani Afrika Chinua Achebe umewasili nyumbani kwake katika jimbo la Anambra nchini Nigeria.
Achebe atazikwa hivi leo Alhamisi.
Mwandishi huyo mashuhuri alifariki mjini Boston,Marekani, akiwa na umri wa miaka

BUNGE LAAHIRISHWA TENA.

Katika hali isiyo ya kawaida leo kwa mara ya pili Spika wa bunge ameahirisha tena bunge.Hii ni kwa sababu ya fuo zilizotokea

VIDEO.RAISI KIKWETE AKIKEMEA VURUGU HUKO MTWARA.