Find us on facebook

Pages

Follow Me.

Monday, June 17, 2013

MAKALA KUHUSU WAGANGA WA KIENYEJI TANZANIA.

Watu wengi nchini Tanzania - na kote barani Afrika, hutafuta ushauri wa waganga wa kienyeji wanaotibu maradhi mbali mbali na kupiga kamari.Sheria za serikali na madawa ya kisasa, huenda zimebadilika , lakini waganga wa kienyeji wangalipo tena kwa sana. Mpiga picha Sasja van Vechgel alikutana na baadhi yao. Mganga huyu anaendesha kazi yake katika 'Kitala', kijumba kidogo anachotumia kuwapa wagonjwa dawa.Baadhi ya watu kuonelea bora kutibiwa na daktari wa kienyeji kuliko daktari wa kawaida kwa kuwa na umani nao zaidi na labda kutokana na madawa ya kisasa kukosa kufanya kazi.


HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO JUNI 18 2013


KISA CHA KANUMBA KUZALIWA UPYA HIKI HAPA.

Mama Lulu na mama wa marehemu Steven Kanumba wanaonekana kuwa karibu sana siku hizi na hivyo watu kuzidi kuamini kuwa hawana tofauti tena na kusahau yaliyopita. Dada wa marehemu Steven Kanumba

PICHA ZA MATUKIO KATIKA MAZISHA YA MSANII LANGA KILEO


HABARI KUHUSU MICHUANO YA KUFUZU KOMBE LA DUNIA KUHUSU NCHI MBALIMBALI ZIKO HAPA.

Michuano ya kufuzu kwa kombe dunia kanda ya afrika imeendelea mwishoni mwa juma hili huku kukiwa na mechi kadhaa zikimalizika ambapo

IRAN YAPATA RAIS MPYA

Kiongozi wa chama chenye msimamo wa Kimhafidhina nchini Iran, Hassan Rouhani, ametangazwa mshindi wa