Find us on facebook

Pages

Follow Me.

Thursday, May 30, 2013

K'LYNE APASUA MBARIKA UHUSIAANO WAKE NA REGINALD MENGI.

Kumekuwepo na fununu nyingi juu ya ni nani hasa baba wa watoto mapacha wa

ZERO 30,000 ZAFUTWA NA BARAZA LA MITIHANI.

Wanafunzi 30,063 waliopata daraja sifuri katika matokeo yaliyopita, wameula baada ya

PITIA VICHWA VYA MAGAZETI YA LEO IJUMAA 31 MEI.


MATOKEO YA KIDATO CHA NNE MAPYA YATOKA:

Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa matokeo ya kidato cha NNE yametoka kupata matokeo tembelea http://www.necta.go.tz/matokeo_html_2013/CSEE_2012/olevel.htm

TAARIFA YA KUTEKWA KWA MWANDISHI ABSALOM KIBANDA NDIO HII.



  1. TAARIFA YA UCHUGUZI JUU YA KUTEKWA NA KUUMIZWA KWA ABSALOM KIBANDA IMEWASILISHWA NYUMBANI HOTEL - TANGA MEI 30, 2013

  1. UTANGULIZI:Usiku wa Jumanne ya Machi 5 kuamkia Machi 6, 2013, Mhariri Mtendaji wa New Habari (2006) Ltd, ambaye pia

VIDEO FULL INTERVIEW P-Funk AKIZUNGUMZIA KIFO CHA MANGWEA NA KUWACHANA CLOUDS

HII NDIO KAULI ILIYOLETA ZOGO LEO MBUNGENI KUTOKA HOTUBA YA UPINZANI:

Mheshimiwa Spika, kwa upande wa chama cha CUF, kutokana na itikadi zake za mrengo wa Kiliberali ambazo miongoni mwa misingi yake mikuu ni pamoja na

SERIKALI YAKILI KUWEPO KWA WATU WANAOTUMIA TEKNOHAMA KWA UCHOCHEZI.

Serikali kupitia kwa Waziri Mkuu imekiri uwepo wa watu ama vikundi vya watu vinavyotumia fursa ya maendeleo ya teknohama kusambaza ujumbe ambao

BREAKING NEWS:BUNGE LASITISHWA KISA HOTUBA YA MH;WENJE.

Katika hali isiyo ya kawaida leo hii mapema Bungeni Hotuba ya Kambi Rasmi ya Upinzani imesitishwa baada ya hotuba hiyo kuwataja chama cha CUF kwamba

TAHADHARI UGONJWA WA NIMONIA.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII


TAARIFA KWA UMMA.

TAHADHARI YA UGONJWA WA NIMONIA INAYOTOKANA NA CORONA VIRUS

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, imepokea taarifa kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) mnamo tarehe 22 Mei 2013, kuhusu kuwepo kwa ugonjwa wa Nimonia unaosababishwa na kirusi cha “Novel Coronavirus”.Taarifa hiyo inaeleza kuwa,tangu ugonjwa huo utokee mwishoni wa mwaka 2012 hadi tarehe 23 Mei 2013  idadi ya wagonjwa wapatao 44 na vifo 22 viliripotiwa

Shirika la Afya Duniani limethibitisha ugonjwa huu kuwepo katika nchi za

SIKILIZA NA KUDOWNLOAD OPEN_LETTER_PROD_MSWAKI.AKIRAP KA NGWEA.

Bofya hapa kupata hiyo nyimbo.

VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO:30 MEI 2013