Find us on facebook

Pages

Follow Me.

Tuesday, May 28, 2013

HIKI NDICHO KILICHOMUUA MANGWEA

Habari kutoka kwa mtu wa karibu na Mangwea anaejulikana kwa jina la Hamisi
vyanzo mbalimbali vkiripoti ni kwamba amesema Ngwea alikua kule kwa mualiko wa kufanya show South Africa, ambapo alikua na msanii mwingine anaeitwa M to the P, na walitakiwa kuondoka leo kurudi Dar saa tatu asubuhi, lakini baada ya kuona hawatokei ndio wakaamua kwenda walipokuwa wamefikia na kuwakuta wote wawili wakiwa hawajielewi baada ya kujidunga madawa ya kulevya mengi (overdose), walipowahishwa hospitali, habari ndio ikawa hivi, kuwa Ngwea amefariki na M to the P yuko hoi hospitali
May God give you peace brother.

No comments:

Post a Comment