Find us on facebook

Pages

Follow Me.

Friday, May 24, 2013

WAASI M23 WATISHIA KUVAMIA MDA WOWOTE WANANCHI KAGERA WAAMBIWA KUWA MACHO.

Wananchi  Mkoa wa kagera kupitia serikali wamembiwa kuwa macho na mtu yeyeote wasiyemjua kutokana
na tishio kwamba Kikosi cha waasi cha M23 kinaweza kuvamia mda wowote katika mkoa huo.

Waasi  hao  wametishia  kuivamia  Tanzania  muda  wowote  ili  kulipiza  kisasi.Miongoni mwa mipaka ambayo iko wazi  ni Kagera, na hii ndo sababu iliyopelekea  serikali ya Mkoa huo kutoa tahadhari kwa wananchi wake na watanzania kwa ujumla.

No comments:

Post a Comment