Find us on facebook

Pages

Follow Me.

Monday, June 3, 2013

MWILI WA MAREHEMU NGWEA WAAGWA AFRIKA YA KUSINI.

 Watanzania waishio nchini South Africa wamepata nafasi ya kuuaga mwili wa
Albert Ngwea kuelekea katika safari ya mwisho wakiongozwa na Msanii Bushoke na Mtoto wa Mhe. Kingunge Ngombale mwiru, Kinjeketile wanaosimamia mipango ya kuaga mwili nchini Afrika kusini...
Mwili  wa  marehemu  utaletwa Tanzania  kesho  saa  nane..


No comments:

Post a Comment