Find us on facebook

Pages

Follow Me.

Wednesday, July 10, 2013

MAJINA YA WATAKAOINGIA KIDATO CHA TANO HAYA HAPA


Muhula wa kwanza kwa wanafunzi wa Kidato cha Tano kuanzia mwaka huu 2013 itaanza mwezi Julai. 


Wanafunzi wamepangwa katika shule zenye miundombinu na walimu kwa masomo husika. 


Aidha, kama baadae upungufu utajitokeza, wakuu wa shule wameelekezwa kufanya taratibu za kuazima walimu wa muda na kutoa taarifa kwa
uongozi wa halmashauri husika kuhusu upungufu wa walimu uliopo. 


Kwa nafasi hii, ninaagiza wanafunzi wote kuripoti katika shule walizopangwa tarehe 29 Julai, 2013. Kama kutakuwa na sababu yoyote ya msingi ya kuhamia shule nyingine, uhamisho wa kawaida utafanywa baada ya kuripoti shuleni kupitia kwa mkuu wa shule husika, Mkurugenzi wa Halmashuri/Manispaa na Katibu Tawala wa Mkoa.

 (Wizara haitabadilisha shule walizopangwa wanafunzi)

Wanaporipoti wanatakiwa kuwa na:
   Original Result slip na Living Cerificate


PHILIPO A. MULUGO (MB)
NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI
10 Julai, 2013




BONYEZA HAPA KUYAONA CHINI KUYAONA

1.WAVULANA 
 http://www.moe.go.tz/index.php?option=com_content&view=article&id=1700:wanafunzi-waliochaguliwa-kujiunga-na-kidato-cha-tano-vyuo-ufundi-wavulana&catid=1:latest-news

2.WASICHANA
http://www.moe.go.tz/index.php?option=com_content&view=article&id=1701:wanafunzi-waliochaguliwa-kujiunga-na-kidato-cha-tano-na-vyuo-ya-ufundi-wasichana&catid=1:latest-news 


BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD

1.WAVULANA PDF
https://docs.google.com/file/d/0B6EsT3rjf-pzamlnNDhZcXJVeUU/edit?usp=sharing 


2.WASICHANA PDF
 https://docs.google.com/file/d/0B6EsT3rjf-pzY0VGVHBfcXdfazQ/edit?usp=sharing

No comments:

Post a Comment