Mubaah Katela
KWA KUTANGAZA NASI WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA 0756777681
Tuesday, February 2, 2016
Thursday, July 3, 2014
Monday, May 19, 2014
Friday, February 21, 2014
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE YAMETOKA KIWANGO CHA UFAULU KIMEPANDA.
Leo hii baraza la Mitihani Tanzania limetangaza matokeo ya Kidato cha nne ambapo kiwango cha ufaulu kimepanda.hapo chini ni link ya matokeo yenye
http://41.188.155.122/CSEE2013/olevel.htm
http://41.188.155.122/CSEE2013/olevel.htm
Saturday, December 14, 2013
TAZAMA LIVE HAPA MECHI KATI YA ARSENAL NA MANCHESTER CITY.
BOFYA HIYO LINK HAPO CHINI UANGALIE MECHI LIVO MDAU WANGU.
Wednesday, December 11, 2013
TAZAMA MECHI ZA MOJ MOJA HAPA(LIVE)
KATI YA ARSENAL VS NAPOLI clink the link below
http://premier-league-live.net/live/arsenal-live-stream/channel-1/
http://premier-league-live.net/live/arsenal-live-stream/channel-1/
Saturday, October 26, 2013
HABARI KUHUSU MBOWE KUMILIKI MAJUMBA ZACHUKUA SURA MPYA:
Kutokana na mjadala ambao tayari umeshawekwa hapa na kujadiliwa kwa siku mbili mfululizo , nimeona kuwa kuna watu wanafanya propaganda badala ya kujaribu kuutafuta ukweli wa jambo lenyewe na kuangalia rationale ya jambo linalojadiliwa .
Mimi niliamua kufanya jambo moja la kujaribu kuangalia nini alichokua amedeclare Mbowe kwenye Tume ya maadili ya viongozi kwa mujibu wa Sheria ya maadili ya viongozi wa umma , nimekuwa mambo yafuatayo na kama yupo ambaye anaweza kunichallenge na aje a seem hapa na sio kuhangaika na Gutter politics ,
Mbowe Freeman , kwenye fomu zake alideclare kuwa anamiliki nyumba kwenye nchi

ICC,"RUTO SHARTI ASHIRIKI KESI YOTE"
Mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC imeamua sharti Naibu Rais wa Kenya William Ruto avihudhurie vikao vyote wakati wa kesi yake ambapo ameshtakiwa kutekeleza uhalifu wa kivita. Viongozi wa mashtaka walipinga uwamuzi wa awali ambapo Bw Ruto angekubaliwa kushiriki vikao vichache tu huku akitumia muda wake mwingi nchini Kenya.
Hata hivyo mahakama imesema licha ya uwamuzi huo
Subscribe to:
Posts (Atom)