Find us on facebook

Pages

Follow Me.

Wednesday, June 19, 2013

UVAAJI WA NAMNA HII UNAASHIRIA NINI?

Katika swala lisilo la kawaida mambo kama haya yameendelea katika jamii.Jambo la kujiuliza ni kwamba je wakemeji wamekosa au sote tushakuwa wale wale tunapenda mambo kama haya


kwa mda wako waweza kuchukua fursa yako na kukemea mambo kama haya hasa we mwanajamii unayelinda maadili ya jamii hii ili yasiweze kupotea.Ni wewe pamoja na mimi twaweza kukomesha tabia hii,


KAHABA ACHEZEA KICHAPO BAADA YA KUGUNDULIKA ANAFANYA HIYO BIASHARA KARIBU NA MSIKITI:


KHAAA! Operesheni Fichua Maovu ‘OFM’ iliyo chini ya Global Publishes, ipo mzigoni na hivi karibuni imenasa tukio la aina yake ambapo mke wa mtu amechezea kichapo ‘hevi’ akidaiwa kufanya ukahaba jirani na msikiti, Risasi Mchanganyiko lina kisa kamili.

LUNDENGA AMTIMUA MREMBO KISA NINI SOMA HAPA.


MWENYEKITI wa Kamati ya Mashindano ya Miss Tanzania, Hashimu Lundenga Jumamosi iliyopita alimtimua mshiriki wa shindano la Redd’s Miss Morogoro 2013, Saphina Chumba (20) jukwaani wakati shindano hilo lilipokuwa likiendelea.
Tukio hilo lilitokea Jumamosi iliyopita katika Ukumbi wa Hoteli ya Kitalii ya Nashera mjini hapa wakati mrembo huyo alipokuwa

PICHA:HAYA NDIO MAMBO MCHAFU YANAYOTEKEA JUKWAANI WKATI WASANII WAKITUMBUIZA

Hivi fikiria umeenda kwenye tamasha la muziki huku ukiangalia wasanii wanojiita kioo cha jamii unaona mambo kama haya yanatokea utafanyaje wewe kama wewe?

Wasanii mbalimbali Afrika kw ujumla wamekuwa na tabia za kucheza huku wakionesha sehemu zao za siri na maungo ya mwili huku wakijua hicho ndicho wanachotaka mashabiki.Suala hili kwa mtizamo wangu sio zuri na ni bora wakaacha mara moja.Natoa Rai kwa Watanzania wenzangu na Afrika kwa ujumla kuweza kukemea na kuchuka hatua juu ya tabia hizi mbovu za wasnii wetu hususani pale tendo hili linapojitokeza.