Find us on facebook

Pages

Follow Me.

Saturday, June 8, 2013

MANDELA AREJESHWA TENA HOSPITALINI.

Rais wa zamani wa Afrika Kusini Nelson Mandela amerejeshwa hospitalini mara baada ya

FIRST ELEVEN YA LEO NDO HII: TAIFA STARS VS MOROCCO

JUMA KASEJA,ERASTO NYONI,SHOMARI KAPOMBE,YONDANI,HERY MORIS,FRANK DUMAYO,MRISHO NGASSA,SALUM ABUBAKARI,THOMAS ULIMWENGU.AMRI KIEMBA,SAMATTA MBWANA.
                                                      ALL THE BEST TAIFA STARS

NYIMBO MPYA KUTOKA KWA FARRY D FT NOAH PV

Ili nyimbo mpya iliyosubiliwa kwa hamu sasa imetoka siku ya leo na iko tayari unaweza kuidownload hapo chini
                                          I'm listening to Noah& Fary D. NIJULISHE @Hulkshare:

KONA YA SHERIA LEO NI Shaaban Itandu Selema Vs Tundu Antipasi Lissu.

                            Bofya link hiyo hapo chini kupata hukumu ya kesi nzima
                                          ShaabaniItanduSelemaVSTunduAntipasMughwayiLissu%20No.37%20OF%202010.HTM

TAIFA STARS WAFANYIE FITINA MOROCCO STORI NZIMA SOMA HAPA.

TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars usiku huu imekiona cha moto mbele ya

TAPELI AKAMATWA:AMETAPELI MISIKITI NA MAKANISA:

Kijana William ambaye anadaiwa kufanya kazi ya  utapeli katika majengo ya ibada anapokuwa misikitini hutumia jina

RAISI WA SOMALIA ANUSURIKA KIFO.

Rais mpya wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud , amenusurika jaribio la kumuua mjini Mogadishu.

MAANDALIZI YA TUZO ZA KILL MUSIC AWARD NDO HAYA.


RUSHWA YA NGONO YATAJWA UDOM

Suala la uwepo wa rushwa ya ngono kwenye Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) limetinga bungeni Lilijitokeza jana wakati Mbunge wa Kilwa Kaskazini, Murtaza Mangungu (CCM)