Saturday, June 22, 2013
TAMASHA LA KILL DODOMA OMMY DIMPOZ AKIONA CHAMOTO APIGWA MAWE AKIWA JUKWAANI.
Msanii wa kizazi kipya OMMY DIMPOZ jana alikiona cha Moto kutoka kwa mashabiki wa Ngwea huko mkoani DODOMA.Hiyo ni baada ya OMMY DIMPOZ kupanada jukwaani kutumbuiza basi hapo ndipo mashabiki walikumbuka tuhuma alaizonazo Msanii huyo za kumtusi Marehem ALBERT MANGWEA.
MSANII BEN POL AKIPAGAWISHA MASHABIKI
MSANII BEN POL AKIPAGAWISHA MASHABIKI
Subscribe to:
Posts (Atom)