Find us on facebook

Pages

Follow Me.

Thursday, June 13, 2013

ABDULRAHMAN KINANA AFUNGUA KESI DHIDI YA PETER MSIGWA.

Katibu mkuu wa chama cha mapinduzi(CCM) Abdulrahmani Kinana amemfungulia kesi Mbunge wa Iringa Mchungaji PETER MSIGWA kwa kile kinachodaiwa kwamba alitoa kauli nje na ndani ya Bunge kuwa

ATEMBEA UCHI MTAANI:

KIJANA BAADA YA MADAWA KUMZIDIA AAMUA KUTEMBEA UCHI MTAANI.KAMA UNATAKA KUONA VIDEO YA KIJANA HUYO BOFYA HAPO CHINI.
http://link.brightcove.com/services/player/bcpid823619053?bctid=2472340553001

PITIA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO JUNI 14 2013


WANAFUNZI WAENDELEZA KUPIGA PICHA CHAFU HEBU CHEKI HAPA.


HII IMETOKEA HUKO MKOANI MTWARA WANAFUNZI WAKIWA KWENYA PARTY.Jamani wakati mwingine

HIII NDIO BAJETI YA TANZANIA MWAKA 2013/14 KWA UFUPI

 Waziri apendekeza Kuanzisha kodi ya zuio ya asilimia 10 ya kamisheni (commission) ya usafirishaji wa fedha kwa njia ya simu za mkononi. Kodi hiyo itakusanywa na kampuni za simu kutoka kwa wakala wanaotoa huduma za kusafirisha fedha kupitia simu za mkononi- Waziri apendekeza Kuongeza kiwango cha Ushuru wa Bidhaa kwenye magari yasiyo ya uzalishaji (Non-Utility Motor Vehicles) ya umri wa zaidi ya miaka 10 kutoka asilimia 20 hadi asilimia 25. Hatua hii inalenga katika kupunguza uagizaji wa magari chakavu, kulinda mazingira na kupunguza ajali

KWA KIFUPI
- Katika kipindi cha Julai hadi Aprili 2013, Serikali ilikopa shilingi bilioni

BREAKING NEWS:MSANII LANGA KILEO A.K.A LANGA AFARIKI DUNIA

MSANII AITWAE LANGA KILEO A.K.A LANGA AMEFARIKI DUNIA MDA MCHACHE ULIOPITA LANGA AMEFIKISHWA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI LEO ASUBUHI AKIWA ANAUMWA MALARIA KALI.HABARI KAMILI TUTAKUTAARIFU.

UJUMBE NA KISA CHA MTANZANIA ALIYEFUNGWA ANGOLA.

Baadhi ya ndugu na marafiki wa Mtanzania aliehukumiwa kifungo cha miaka nane nchini Angola baada ya kupatikana na dawa za kulevya alizokua akizisafirisha kwenda

ZITTO ATOA KAULI NZITO.

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zitto Kabwe amesema

CHEZEA NGUVU YA UMMA WEWE?WABUNGE KENYA WASALIMU AMRI


Wabunge wa Kenya wamesalimu amri ya madai yao ya kuongezewa mshahara waliyokuwa wameshayapigia kura  na kujiwekea  posho kubwa zikiwemo gari za kifahari na mafao ya kustaafu, liliripoti shirika la habari la AFP siku ya Jumatano (tarehe 12 Juni).

Mwezi uliopita, wabunge wa Kenya walijipigia kura

HUYU MTENGENEZA MAJENEZA NI NOMA:


Mtu mmoja anayejikimu kwa kutengeneza majeneza ameonesha kipaji cha ajabu sana  hebu bofya hapo chini uweze kuona videp yake ni DAKIKA MBILI tu.

MAANDAMANO KENYA YAZIDI KUPINGA WABUNGE KUJIONGEZEA MISHAHARA:

Mashirika yasiyo ya kiserikali yamefanya maandamano mwengine mjini Nirobi Kenya kupinga jaribio la wabunge

WASHIKAJI(MASHOGA) WABAMBWA WAKIBAJUANA WAPI HUKO SOMA HAPA:

Tukio hilo lililoshuhudiwa na watu kibao, lilijiri Juni

MAGAZETI YA LEO JUNI 13 2013