HII IMETOKEA HUKO MKOANI MTWARA WANAFUNZI WAKIWA KWENYA PARTY.Jamani wakati mwingine
MMOJA BAADA YA KUZIDIWA NA POMBE MZUKA WA AJABU ULITOKEA KAMA ANAVYOONEKANA…
Ndani ya pub hiyo, madenti hao walianza kwa staili ya kupiga pombe kabla ya michezo ya kifusika kuanza…
Pombe ilipowakolea, madenti hao waligawana, kila mtu mtu na wake na kuanza kubadilishana mate na michezo mingine ya michafu…
Hali hiyo ilizua taflani kubwa kwa wananchi waliokuwa eneo hilo huku wengine wakionekana kutoamini macho yao kwa vitendo vilivyokuwa vikitendwa na madenti hao..
Hali hiyo ilizua taflani kubwa kwa wananchi waliokuwa eneo hilo huku wengine wakionekana kutoamini macho yao kwa vitendo vilivyokuwa vikitendwa na madenti hao..
No comments:
Post a Comment