Tuesday, May 28, 2013
BREAKING NEWS:MWANAMUZIKI WA KIZAZI KIPYA ALBERT MANGWEA AFARIKI DUNIA:
Rapper maarufu nchini a.k.a kaObama Albert Mangwea amefariki dunia leo hii Huko Afrika ya Kusini katika hospitali ya st Hellen.Sababu za kifo bado hazijajulikana kwa habari zaidi endelea kutembelea blog yetu.
VIMWANA WA MISS REDD'S TANGA NDIO HAWA HAPA.
Warembo wa miss REDDS mkoa wa Tanga 2013 wakiwa katika picha ya pamoja
kwenye mazoezi ya shindano hilo lnalotegemea kuanza juni 22.
kwenye mazoezi ya shindano hilo lnalotegemea kuanza juni 22.
Subscribe to:
Posts (Atom)