Find us on facebook

Pages

Follow Me.

Tuesday, May 28, 2013

BAADA YA TUHUMA ZA KUPOST PICHA ZA UCHI ZA JIDE MCHOMVU ASEMA YAFUATAYO.

Naomba kuchukua nafasi hii
kuomba radhi kwa yeyote aliyekwazika kwa maneno machafu yaliyoandikwa kwa wall yangu, na pia naomba nieleweke kwamba sihusiki na chochote kupost au kuandika chochote kuhusu kikwete foundation na picha za jdee ukiwa naked, sina ugomvi na yeyote naheshimu hisia za kila mtu nikiamini kila mtu Anamaamuzi yake.. Aliyeamua kutumia jina langu kufanya hao najua sasa unajiskia vizuri baada ya matusi mengi niliyotukanwa.. Maisha hayaishii hapa siku zinaenda na ukwali utafahamika siku moja ... Mchana mwema !!
HIZI NDO COMMENT ZA WATU KUHUSIANA NA ALICHOKIANDIKA.
  1. Wakishua Selfmade ... Kaa tayari kumfanya jonii as ring tone ya simu yako nakupa code soon ... Ahsante kwa ushirikiano wako
    1Like · 
  2. feza sio kessy leta mkwanja bongo we got yo back .... TANZANIA stand up!!!
    Like · 
  3. Good morning Monday ..
    3Like · 


No comments:

Post a Comment