BREAKING NEWS:MWANAMUZIKI WA KIZAZI KIPYA ALBERT MANGWEA AFARIKI DUNIA:
Rapper maarufu nchini a.k.a kaObama Albert Mangwea amefariki dunia leo hii Huko Afrika ya Kusini katika hospitali ya st Hellen.Sababu za kifo bado hazijajulikana kwa habari zaidi endelea kutembelea blog yetu.
No comments:
Post a Comment