Tuesday, July 2, 2013
MCHUNGAJI AFUNGWA MIAKA 30 JELA NA VIBOKO 12 KILA SIKU KWA KOSA LA UBAKAJI
FAMILIA YA MCHUNGAJI IKIONGEA NA MWANDISHI WA HABARI BAADA YA HUKUMU KUTOLEWA
MCHUNGAJI wa Kanisa la Evangelical Assemblies of God of Tanzania(EAGT) la Iwambi Jijini Mbeya Daniel Mwasumbi amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela na viboko 12 baada ya kukutwa na makosa mawili ya Kubaka na kumpa mimba Mwanafunzi wa miaka 19.
Akisoma hukumu hiyo Hakimu wa mahakama ya Wilaya ya Mbeya Ndugu Gilbert Ndeuruo amesema Mahakama imemtia hatiani kutokana na
Subscribe to:
Posts (Atom)