Rais Wa Kenya Uhuru Kenyatta ametoa kauli kali kupinga hatua ya wabunge wa Kenya
Wednesday, May 29, 2013
PICHA ZA MATUKIO KILICHOTOKEA LEADERS CLUB WASNII WAKIPOKUTANA.
Leo hii wasanii mbalimbali wamekutana katika viwanja vya Leaders club kupanga mambo mbalimbali juu ya msiba wa mwenzao Albert Mangwea Kupitia Umoja wa wao, Wasanii hao wameweza kuunda kamati ambayo inaongozwa na Mwenyekiti ambaye ni
M TO THE P HAJAFA ILA YUKO MAHUTUTI.
Kutoka kwa millard Ayo aliye huko Afrika Kusini ni kwamba Sio kweli kwamba msanii M2theP kafariki, ni mzima ila anapumulia mashine, kafungua macho na kunyanyua miguu dakika chache zilizopita.
UHAKIKA WA KILICHOMUUA NI KUJIOVERDOSE HEROIN NA CRACK. SOMA RIPOTI YA DAKTARI HAPA.
Kutokana na habari mbalimbali kwa vyombo mbalimbali kuhusu kifo cha msanii Albert Mangwea sasa mambo yamewekwa wazi na ripoti ya dactari na kusema kwamba
ALICHOKISEMA JANUARY MAKAMBA KUHUSU HABARI ILIYOANDIKWA NA GAZETI LA NIPASHE.
Gazeti la leo la Nipashe, katika ukurasa wa mbele, lina picha yangu na kichwa cha habari kinachosema
LADY JAYDEE, IZZO B,MWANA FA WAAHIRISHA SHOO ZAO KUMUENZI MANGWEA.
Baadhi ya wasanii wa bongo fleva nchini wameahirisha shoo zao kulingana na kile kinachotajwa na wao kwamba
Subscribe to:
Posts (Atom)