Rais Wa Kenya Uhuru Kenyatta ametoa kauli kali kupinga hatua ya wabunge wa Kenya
kutaka kujiongezea mishahara. Rais Kenyatta amesema kuwa taasisi zote za serikali na afisi zingine zote za umma zitafuata mapendekezo yaliyotolewa na tume ya kudhibiti mishahara bila upendeleo wowote.
Wabunge wa Kenya wamekuwa wakilumbana na tume hiyo wakidai imewanyanyasa kwa kuwapunguzia mishahara yao.
No comments:
Post a Comment