Find us on facebook

Pages

Follow Me.

Wednesday, May 29, 2013

SITAKI KUSIKIA NYIMBO YA NGWEA IKIPIGWA REDIONI.KAULI YA P.FUNK

Huu ni ujumbe uliotumwa na Producer maarufu  anaejulikana kama Producer Majani
.Anawaomba watanzania walijue hilo na badae atatoa barua rasmi.kipande cha ujumbe huo kilikuwa kinasema hivi."mwambie kusaga kuanzia leo sitaki kusikia nyimbo ya mikasiikipigwa clouds f.m fro.Ludigo(HAKI ZANGU KAMA PRODUCER ZINAFANYA KAZI.Sikufanya chochote enzi za uhai wake kwa sababu ya gharama za kuishi mjini.NAOMBA UNIPE SUPPORT KWENYE HILI SWALA".Mwosho wa kunukuu.

No comments:

Post a Comment