Mheshimiwa ZITTO KABWE anasema wanjiandaa kwa mapinduzi ya nchi endapo serikali itachukulia mzaa juu ya suala la Mabilioni yaliyofichwa katika nchi ya USWISWI na vigogo wa TANZANIA.Mheshimiwa ZITTO amesema hayo katika tweets zake hapo chini na kusema kwmba
PRESS MAKAO MAKUU YA CHADEMA LEO TAREHE 23/06/2013 Habari za Jumapili WanaJF. Tuko live kuwaletea yatakayozungumzwa muda si mrefu hapa Makao Makuu ya CHADEMA Mtaa wa Ufipa, Kinondoni Jijini Dar es Salaam