Wednesday, June 5, 2013
KATIKA SHERIA KWA LEO:Wilfred Muganyizi Rwakatale vs Sued Hamisi Kagasheki.
Pitia na usome kwa makini kesi iliyokuwa ya uchaguzi wa jimbo la bukoba mjini kupinga ushindi wa MH SUED KAGASHEKI.
MSIBA:MME WAKE HADIJA KOPA AMEFARIKI:
MUIMBAJI MAARUFU WA TAARABU AU MALKIA WA MIPASHO NA MJUMBE WA NEC-CCM TAIFA HADIJA KOPA AMEFIWA NA MUMEWE JAFFARI USIKU WA KUAMKIA LEO.................HABARI ZAIDI ZITAWAJIA HIVI KARIBUNI..
R.I.P JAFFAR ALLY MTOTO WA KIKWERE
POLE SANA MALKIA WA MIPASHO.
VIDEO YA DADA WA KITANZANIA ALIVYOKAMATWA NA MADAWA EGYPTY
Mwanadada anayesadikika kuwa Mtanzania alikamatwa nchini Egypty akiwa na madawa ya kulevya.Hii hapa chini ni VIDEO inayoonesha ushahidi wa kukamatwa kwa huyo dada wa KITANZANIA.
RUTO NA UHURU KESI YAO KUSIKILIZWA TANZANIA AU KENYA?
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu inaweza kuendesha kesi yake kwa mara ya kwanza nje ya The Hague baada ya majaji wake kusema kwamba yumkini wakaendesha kesi dhidi ya makamo wa rais wa Kenya katika nchi yake auTanzania.
Majaji hao Jumatatu (03.06.2013) walikuwa wakijibu ombi la mawakili wa William Ruto
KIONGOZI WA ALSHABAB HUKO PUNTLAND SOMALIA AKAMTWA
Maafisa wa utawala katika jimbo la Puntland, wanasema kuwa wamemkamata kiongozi wa kundi la al Shabab katika
SOMA TAARIFA ZA MWNADADA ALIYEKAMATWA MISRI NA MADAWA NA KUHUKUMIWA KUNYONGWA.
guys mmoja wa wasomaji na rafiki wa facebook amemuinbox mdau mmoja amabae alitoa taarifa na kusema kwamba
MWILI WA MAREHEMU NGWEA ULIPOWASILI VIWANJA VYA LEADERS.
Mwili wa marehemu Aalbert Mangwea uliwasili jana kutoka afrika ya kusini na leo hii unatarajiwa kuagwa katika viwanja vya LEADERS mjini Dar es salaam tiyari kwa safari ya kuelekea Morogaoro kwa Mazishi.
Subscribe to:
Posts (Atom)