Rasimu ya katiba iliyotoka jana na kusomwa mbele ya watu waliokusanyika huku ikielezea mambo mbalimbali.Kama hujaipata Rasimu hiyo unaweza kubofya link hiyo hapo chini.
http://www.katiba.go.tz/attachments/article/182/Rasimu%20_Final_%20(1).pdf
Monday, June 3, 2013
RASIMU YA KATIBA YA SHERIA YAZINDULIWA RASMI
Rasimu ya katiba imeziduliwa leo hii amabapo maswala mbalimbali yameibuka likiwemo la Mgombea binafsi kupendekezwa kuwepo katika katiba ijayo
TAMKO LA BALOZI WA TANZANI AFRIKA KUSINI KUHUSU KUWASILI KWA MWILI WA MAREHEMU NGWEA.
Balozi wa Tanzania Africa ya Kusini Radhia Msuya.
Balozi wa Tanzania Africa ya Kusini kwenye picha hapo juu ametoa pole kwa familia,wasanii na wadau wote kwa kupotelewa na kijana ambaye bado watu walikuwa wanamuhitaji.Amesema kuwa mwili wa marehemu Ngwair umechelewa kufika Tanzania kutokana na post mortem na taratibu za kupata kibali cha kusafirisha mwili huo kutoka Serikali ya Africa ya Kusini.Radhia alisema kuwa kama taratibu zote zitaenda sawa mwili huo utawasili siku ya Jumanne Tanzania.
HEBU TUMSIKILIZE HAPO CHINI
I'm listening to BALOZI AFRIKA KUSINI FULL.mp3 @Hulkshare:
NANI ASEMWE KATI SINTAH NA BINTI ALIYEMWAGA RADHI TABORA:
Nimeamua kuandika hii habari kwa mtizamo tofauti na wengine.Na hii imetokana na mwanadada SINTAH Kuandika maneno juu ya huyu Mwanadada huko Tabora aliyemwaga radhi mbele ya umati mkubwa.Sintah amekichukulia kitendo hicho kama cha kipuuzi na akacha kukumbuka hata ya kwake.Kwani kama ni sura la picha naye pia aliwahi kuonekana viungo vyake hata zaidi ya huyo mdada na kama suala ni kulewa je yeye kipindi anafanya haya alikuwa amelewa au alikuwa hajalewa.
KAMATI YA MAZISHI YA NGWEA YAKUSANYA MILIONI 32
Mwenyekiti wa Kamati ya Mazishi Adam Juma (aliyesimama) akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Radhia Msuya nyumbani kwa baba mdogo wa marehemu Mangweha Mbezi Beach Beach jijini Dar.
KAMATI ya Mazishi ya aliyekuwa Msanii wa Bongo Fleva, Albert Mangwea ‘Ngwea’, mpaka jana
KAMATI ya Mazishi ya aliyekuwa Msanii wa Bongo Fleva, Albert Mangwea ‘Ngwea’, mpaka jana
Subscribe to:
Posts (Atom)