Find us on facebook

Pages

Follow Me.

Monday, June 3, 2013

NANI ASEMWE KATI SINTAH NA BINTI ALIYEMWAGA RADHI TABORA:

Nimeamua kuandika hii habari kwa mtizamo tofauti na wengine.Na hii imetokana na mwanadada SINTAH Kuandika maneno juu ya huyu Mwanadada huko Tabora aliyemwaga radhi mbele ya umati mkubwa.Sintah amekichukulia kitendo hicho kama cha kipuuzi na akacha kukumbuka hata ya kwake.Kwani kama ni sura la picha naye pia aliwahi kuonekana viungo vyake hata zaidi ya huyo mdada na kama suala ni kulewa je yeye kipindi anafanya haya alikuwa amelewa au alikuwa hajalewa.

Kushoto ni Mwanadada wa Tabora aliyemwaga aliyeonyesha makalio
yake mbele ya Umati wkati akiwa amemkumbatia OMMY DIMPOZ.Kushoto ni picha ya Mwanadada Sintah aliyewahi kupiga picha naye za autupu.
 Sintah ametamka maneno kama ifuatavyo juu ya huyo dada wa Tabora
Jamaniiiii hizi pombe za ukubwani hizi yaani mtu unajichezea tuuu hujui wakina nani wanakuangalia, huna habari nani ana hamu ya kuona sehemu zako za sirii aishii cheap,cheap.
Burudani ilikuwa nzuriiiii lakini wafakamia bia za bure siku zote huwa hawana nidhamu heeee kunywa bila standard ndo mwisho wake kukatika mshipa wa staha na aibu na kuanza kutia doa sherehe. Libeneke la shosti hapo mbele ya waheshimiwa jamaniiiiiii au ndo kujipa promo?????

Aiiii wadada tunakuwaje siku hizi Lolest. Tupunguze parakatumba eeeh.
Hongera kwa Miss Tabora 2013, she is beautiful.




No comments:

Post a Comment