Find us on facebook

Pages

Follow Me.

Monday, July 8, 2013

VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO JULY 9


HEBU CHEKI HIYO AJALI YA NDENGE MDAU WANGU

Ajali mbalimbali zimeendelea kutoka dunia hii ni Ajali ya ndege kutoka Asia kuelekea San Fransisco amabpo inasemekana katika Ajali hiyo vijana wawili wakichinma walipoteza maosha na Abiria 182 kujeluiwa Bfyya lnk hapo chini kucheki video hiyo.
http://online.wsj.com/article/SB10001424127887323823004578591422758092016.html?mod=world_newsreel#

WANAWAKE WAWILI KUTOKA TANZANIA WAKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA HUKO SOUTH AFRIKA TAZAMA VIDEO YAKE HAPA.









BAADA YA KESI YAKE KUAHILISHWA LWAKATARE ASEMA HAYA


KATIKA UKURASA WAKE WA FACEBOOK AMESEMA KWAMBA "Nimshukuru Mungu kwa siku njema ya leo na kwa ajili ya watanzania wote.
Leo ikiwa ni siku ya case yangu kusikilizwa Mahakama ya Mkazi Kisutu, nimereport pamoja na makamanda walionisindikiza. Case imehairishwa mpaka tarehe 22 July 2013.
Pamoja na hayo,mshitakiwa no.2 Ludovick Joseph ameshindwa kupata dhamana kwa sababu ya kutokukamilika kwa nyaraka za dhamana,hata hivyo dhamana yake iko wazi.
Tukiwa nje ya mahakama,kijana Ludovick ameonekana kuwa mnyonge na kulia sana akilalamika kutojishughulisha kwa ndugu zake(ambao hawakufika mahakamani) kufuatilia dhamana yake.
Nawatakia kazi njema na tusichoke kulitumikia taifa.
Peopleeeeeeeeeeees!"