Find us on facebook

Pages

Follow Me.

Wednesday, May 22, 2013

MSIBA:MWANAFUNZI UDOM AFARIKI BAADA YA KUGONGWA NA TRENI.

 Mwanafunzi anayeitwa Boid Mwakitalima amefariki dunia baada ya kugongwa na treni eneo la Dodoma station,mwanafunzi huyo alaikuwa akitembea kando kando ya reli huku

SIKILIZA Young Kacha ft. Darassa & Milltana-Trave.

 Young Kacha ft. Darassa & Milltana

BREAKING NEWS:BUNGE LAAHIRISHWA KISA VURUGU ZA MTWARA.

Kutokana na habari zilizopo kwamba mjini Mtwara kuna vurugu kubwa sana.Hali hiyo imesababisha Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

PICTURE OF THE DAY.


SOMA HAPA:SABABU YA KULA MOYO WA ADUI SYRIA.

Kisa cha hivi karibuni cha mwanajeshi kuula moyo wa adui yake nchini Syria kimeonekana kuwashangaza watu wengi.Lakini je tukio hilo ndo la kinyama kuliko matukio yote yanayotokea wakati wa vita?

TUME YAPENDEKEZA WAKUBWA KUSHTAKIWA KENYA.


Rais wa Kenya  Uhuru Kenyata na naibu wake wametajwa katika ripoti inayowahusisha na ghasia za baada ya uchaguzi katika ripoti hiyo iliyosubiriwa kwa muda mrefu kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu.Ripoti hiyo hata hivyo haikutoa mapendekezo ya hatua za

TASWIRA YA UDOM PALE NEEMA INAPOINGIA.(BOOM)


CHUKUA TIME KUPITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO.


KAKA NA DADA WAKAMATWA WAKIVUNJA AMRI YA SITA.

Dunia kweli imefikia mkiani na inakaribia kabisa kupotea,tukio la kunaswa kwa vijana wawili wenye undugu wa damu wakifanya

MTWARA KWACHAFUKA TENA.

Mabomu  maeneo ya Magomeni-Mtwara yanaendelea kurindima. Sasa hali si shwari kila eneo, Mabavu yamechukua mkondo wake. Wananchi wamejifungia majumbani mwao. Chuki dhidi ya Polisi yaimarika. Polisi wanapiga mabomu bila mwelekeo. Magomeni na sokoni kimenuka, mabomu yanarushwa na wananchi wanakimbia ovyo