Mwanafunzi anayeitwa Boid Mwakitalima amefariki dunia baada ya kugongwa na treni eneo la Dodoma station,mwanafunzi huyo alaikuwa akitembea kando kando ya reli huku
akiwa amevaa headphone zilisosababisha ashindwe kusikia ama kuhisi chochote juu ya muungurumo wa treni hilo mpaka lilipomsogelea karibu na kumsukuma pembeni ambapo aliangukia chuma na kuaga dunia pale pale...
Mwili wa Marehemu umesafirishwa leo kueleke nyumbani kwa marehemu MBEYA.
No comments:
Post a Comment