Kutokana na habari zilizopo kwamba mjini Mtwara kuna vurugu kubwa sana.Hali hiyo imesababisha Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
kuahirisha bunge hilo mpaka kesho asubuhi.Hiyo imetokana kwamba serikali inabidi ije na maelezo kesho kutokana na vurugu zinazoendelea huko Mtwara.Na vurugu hizo zimetokea baada ya Waziri wa Nishati na Madini Kusoma hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi mwaka 2012/2013 amabapo alaisema bomba la gesi litajengwa kutoka MTWARA kuelekea eneo la Kinyerezi jijin DAR ES SALAAM.Ambapo tokea mwanzo wananchi hao wanapinga juu ya uamauzi huo uliofikiwa na Serikali.
No comments:
Post a Comment