mapenzi kando ya Ufukwe wa Bahari ya Hindi
Imefahamika kwamba vijana hao, kaka na dada wamenaswa ‘wakingonoka katika mapango yaliyopo kando ya Ufukwe wa Coco, Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Tukio zima lilitokea mchana kweupe wa saa 9 na kudhihirisha habari za mara kwa mara zinazoeleza kwamba Ufukwe wa Coco umekuwa ukitumika kwa ufuska usiku na mchana.
No comments:
Post a Comment