Kumekuwepo na fununu nyingi juu ya ni nani hasa baba wa watoto mapacha wa
Thursday, May 30, 2013
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE MAPYA YATOKA:
Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa matokeo ya kidato cha NNE yametoka kupata matokeo tembelea http://www.necta.go.tz/matokeo_html_2013/CSEE_2012/olevel.htm
TAARIFA YA KUTEKWA KWA MWANDISHI ABSALOM KIBANDA NDIO HII.
- TAARIFA YA UCHUGUZI JUU YA KUTEKWA NA KUUMIZWA KWA ABSALOM KIBANDA IMEWASILISHWA NYUMBANI HOTEL - TANGA MEI 30, 2013
- UTANGULIZI:Usiku wa Jumanne ya Machi 5 kuamkia Machi 6, 2013, Mhariri Mtendaji wa New Habari (2006) Ltd, ambaye pia
HII NDIO KAULI ILIYOLETA ZOGO LEO MBUNGENI KUTOKA HOTUBA YA UPINZANI:
Mheshimiwa Spika, kwa upande wa chama cha CUF, kutokana na itikadi zake za mrengo wa Kiliberali ambazo miongoni mwa misingi yake mikuu ni pamoja na
SERIKALI YAKILI KUWEPO KWA WATU WANAOTUMIA TEKNOHAMA KWA UCHOCHEZI.
Serikali kupitia kwa Waziri Mkuu imekiri uwepo wa watu ama vikundi vya watu vinavyotumia fursa ya maendeleo ya teknohama kusambaza ujumbe ambao
BREAKING NEWS:BUNGE LASITISHWA KISA HOTUBA YA MH;WENJE.
Katika hali isiyo ya kawaida leo hii mapema Bungeni Hotuba ya Kambi Rasmi ya Upinzani imesitishwa baada ya hotuba hiyo kuwataja chama cha CUF kwamba
TAHADHARI UGONJWA WA NIMONIA.
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII
TAARIFA KWA UMMA.
TAHADHARI YA UGONJWA WA NIMONIA INAYOTOKANA NA CORONA VIRUS
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, imepokea taarifa kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) mnamo tarehe 22 Mei 2013, kuhusu kuwepo kwa ugonjwa wa Nimonia unaosababishwa na kirusi cha “Novel Coronavirus”.Taarifa hiyo inaeleza kuwa,tangu ugonjwa huo utokee mwishoni wa mwaka 2012 hadi tarehe 23 Mei 2013 idadi ya wagonjwa wapatao 44 na vifo 22 viliripotiwa
Shirika la Afya Duniani limethibitisha ugonjwa huu kuwepo katika nchi za
Subscribe to:
Posts (Atom)