Wednesday, May 15, 2013
KUTOKA NIGERIA
Rais JONATHAN wa Nigeria atangaza hali ya hatari katika majimbo matatu ya kaskazini mwa Nigeria ambapo kundi haramu la Bhoko Haramu linalaumiwa kwa maafa yanayotokea katika majimbo hayo
KITABU KIPYA JUU YA MATATIZO JUU YA VIJANA KATIKA KUTIMIZA MALENGO YAO.
Mwanafunzi wa chuo kikuuu cha Dodoma aitwae Mbaraka Katela anaesoma sheria mwaka wa tatu anatarjia kutoa kitabu chake juu ya matattizo yawakumbao vijana katika mafanikio yao.kitabu hicho kiko tayari kutolewa na punde kitakuwa mtaani
Subscribe to:
Posts (Atom)