Ni baada ya Mbunge huyo kutoa hotuba yenye maneno mazito ndipo wananchi waliokuwa pale walizikusanya
Sunday, June 9, 2013
WABUNGE WASUBIRI KWA HAMU BAJETI KUU
Mkutano wa 11 wa Bunge la Muungano unaendelea leo baada ya mapumziko ya mwishoni mwa wiki, huku wabunge na wananchi wakisubiri Bajeti ya Serikali.
Baada ya wizara 32 kumaliza kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2013/14, kinachosubiriwa sasa ni
IMAMU WA MSIKITI ACHEZEA KICHAPO STORY NZIMA YA KISA SOMA HAPA.
IMAMU wa msikiti wa Maziwa Ngo’mbeKisiwani Pemba, Omar Hussen Said (42) amepigwa na kujeruhiwa jicho baada ya kutokea vurugu ndani ya msikiti wakati wa ibada ya Ijumaa Juni 7 mwaka, imefahamika jana.
27 WAUAWA:UNAJUA NI WAPI HUKO SOMA HAPA.
Maafisa wa hospitali mjini Benghazi nchini Libya wanasema kiasi ya watu ishirini na saba wameuawa huku wengine hamsini
Subscribe to:
Posts (Atom)