Find us on facebook

Pages

Follow Me.

Sunday, June 9, 2013

TUNDU LISSU ACHOMA MOTO KADI ZA CCM.

Ni baada ya Mbunge huyo kutoa hotuba yenye maneno mazito ndipo wananchi waliokuwa pale walizikusanya
kadi walizokuwa nazo na Mheshimiwa huyo akaamua kuzichoma kadi hizo.Tundu Lissu alfanya mkutano katika mkoa wa Morogoro.

No comments:

Post a Comment