Tuesday, May 21, 2013
KUHUSU KINGUNGE KUZUSHIWA KIFO.
Taarifa za kuaminika ni kwamba Mzee Kingunge hajafariki dunia kama inavyotajwa na mitandao.ni mzima wa afya kabisa.chanzo cha habari millardao.com @millardayo.
MILUTIN MICHO ATEULIWA KUWA KOCHA MKUU WA UGANDA.
Kocha mwenye historia ya pekee katika ukanda wa Afrika mashariki na kati,Srodjevic Milutin Micho ameteuliwa kuwa
ALICHOKISEMA PROF J BAADA YA KUPOKEA KADI YA CHADEMA.
Profesa Jay amesema yeye ni mwanaharakati muda mrefu na amejiunga na amejiunga na CHADEMA rasmi leo lakini yeye ni mfuasi wa
MAJIBU YA VODACOM KUHUSU SAKATA LA MAGESA MULONGO NA LEMA.
KAMANDA wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas, amedai kuwa uchunguzi wa awali kuhusu ujumbe unaodaiwa kutumwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo, umetumwa na mtandao wa simu wa nje ya nchi.
WAPIGANAJI WA BOKO HARAM WAKAMATWA.
Takriban
wapiganaji 120 wamekamatwa katika mji wa Maiduguri, eneo la Kaskazini
Mashariki mwa Nigeria wakati walipokuwa wanaandaa mazishi ya
TAARIFA YA CCM KWA VYOMBO VYA HABARI.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi,Nape Moses Nnauye ametoa taarifa kwa vyombo vya habari juu ya kikao kilichokaliwa na mwenyekiti wa CCM mjini dodoma.Na taarifa hiyo ni kama ifuatavyo
KUTOKA KWA LADY JAYDEE.
Majina ya watu 10 walioshinda complimentaries za show ya tar 31 May 2013 pale Nyumbani Lounge.
Kwenye utambulisho rasmi
WAYNEY ROONEY APATA MTOTO WA PILI.
Mwanasoka maarufu dunianai asubuhi ya leo kutokana na Gazeti la Daily News kupitia twitter,mtoto huyo
MADRID YADHIBITISHA KUACHANA NA MOURHINHO.
Klabu ya Real Madrid imethibitisha kuwa kocha wa timu hiyo Jose Mourinho ataondoka kwenye kibarua cha kuifundisha timu hiyo mwishoni mwa msimu.
WASICHANA WATATU NA MAMA YAO WABAKWA NIGERIA.
Katika hali isiyo ya kawaida Nchini Nigeria wasichana watatu pamoja na mama yao wamebakwa wakati huo wakiwa wanatishiwa kwa bunduki.
MSEVENI AZUNGUMZA KUHUSU MASHOGA.
Subscribe to:
Posts (Atom)