Find us on facebook

Pages

Follow Me.

Tuesday, May 21, 2013

WASICHANA WATATU NA MAMA YAO WABAKWA NIGERIA.

Katika hali isiyo ya kawaida Nchini Nigeria wasichana watatu pamoja na mama yao wamebakwa wakati huo wakiwa wanatishiwa kwa bunduki.tukio hilo limetokea katika mji wa ILLAH.Mojawapo ya Kijana aliyesaidia kitendo hicho cha kinyama katika mahojiano na polisi alikiri kuwatafuta vijana hao ili wambake msichana mmoja aliyemtaka kuwa mpenzi wake na kumkataa.

No comments:

Post a Comment