Kocha mwenye historia ya pekee katika ukanda wa Afrika mashariki na kati,Srodjevic Milutin Micho ameteuliwa kuwa
Kocha mpya wa Timu ya UGANDA alimaarufu The Cranes.kocha huyo amesign mkataba wa miaka miwili.Hapo awali kocha huyo alikuwa ni kocha wa Timu Ya Rwanda.
No comments:
Post a Comment