Profesa Jay amesema yeye ni mwanaharakati muda mrefu na amejiunga na amejiunga na CHADEMA rasmi leo lakini yeye ni mfuasi wa
Chama hicho muda mrefu kutokana na harakati zake za kutaka kuikomboa Tanzania.Profesa Jay alisema kuwa anapenda Tanzania Bora,na anaamini Chama cha Chadema kina muelekeo huo wa kuipeleka Tanzania kuwa Bora.Hiyo ndo maana ameamua kuchukua kadi ya chama hicho na si kwa nia ya kufanya Siasa ila ni kwaajili ya kuijenga Tanzania na kuendeleza harakati.
No comments:
Post a Comment