Mnamo tarehe kama ya leo Mei 21 mwka 1996 meli ya Mv Bukoba ikiwa imebakiza km tkribani 54
kufika jijini mwanza ilizama ambapo Abiria takribani 1000 walipoteza maisha
Hili ndilo eneo wlipozikwa wahanga wa ajali ya meli ya MV.BUKOBA.
Eneo ndani ya ziwa victoria ambapo meli hiyo ilizama na kupoteza maelfu ya Abiria
No comments:
Post a Comment