Watanzania waishio nchini South Africa wamepata nafasi ya kuuaga mwili wa Albert Ngwea kuelekea katika safari ya mwisho wakiongozwa na Msanii Bushoke na Mtoto wa Mhe. Kingunge Ngombale mwiru, Kinjeketile wanaosimamia mipango ya kuaga mwili nchini Afrika kusini...
Mwili wa marehemu utaletwa Tanzania kesho saa nane..
No comments:
Post a Comment