guys mmoja wa wasomaji na rafiki wa facebook amemuinbox mdau mmoja amabae alitoa taarifa na kusema kwamba so lets wait and see hila ni kwamba ajafikishwa hata mahakamani
Mambo zay mzima plz huyo alokamatwa misri nindugu yang na taarifa tunazo natuna fatlia hizo habar za kunyongwa sizo zakweli watu wanazusha cz hata mahakaman hajapelekwa tumeongea na baloz wa oman na serikali ya oman ndo inafatilia so waambie na achen kuandika vitu visivyokuwa na ukweli nayule hakai znz naomba fikisha ujumbe habari za kunyongwa sizo za kwel
Hii ndo siku alipokamatwa na unga
Mrembo Fatma katika pose
No comments:
Post a Comment