Find us on facebook

Pages

Follow Me.

Wednesday, May 29, 2013

PICHA ZA MATUKIO KILICHOTOKEA LEADERS CLUB WASNII WAKIPOKUTANA.


Leo hii wasanii mbalimbali wamekutana katika viwanja vya Leaders club kupanga mambo mbalimbali juu ya msiba wa mwenzao Albert Mangwea Kupitia Umoja wa wao, Wasanii hao wameweza kuunda kamati ambayo inaongozwa na Mwenyekiti ambaye ni
kaka wa Marehemu Kenneth Mangweha ambapo wengine waliomo katika kamati ni pamoja na Adam Juma, P Funk Majani, Mez B, Mchizi Mox, Rommy Jones, Noorah, Michelle, Lady Jay Dee, Prof Jay, J Mo, na Dj Choka ambaye atahusika na kuzungumza kupitia mitandao yani Facebook na Twitter ambapo kwa taarifa zote kutoka kwake zitakuwa zimethibitishwa na kamati hiyo.













No comments:

Post a Comment