Find us on facebook

Pages

Follow Me.

Wednesday, May 29, 2013

M TO THE P HAJAFA ILA YUKO MAHUTUTI.

Kutoka kwa millard Ayo aliye huko Afrika Kusini ni kwamba Sio kweli kwamba msanii M2theP kafariki, ni mzima ila anapumulia mashine, kafungua macho na kunyanyua miguu dakika chache zilizopita.

No comments:

Post a Comment