Msanii wa kizazi kipya OMMY DIMPOZ jana alikiona cha Moto kutoka kwa mashabiki wa Ngwea huko mkoani DODOMA.Hiyo ni baada ya OMMY DIMPOZ kupanada jukwaani kutumbuiza basi hapo ndipo mashabiki walikumbuka tuhuma alaizonazo Msanii huyo za kumtusi Marehem ALBERT MANGWEA.
MSANII BEN POL AKIPAGAWISHA MASHABIKI
KALA JEREMIAH ALIPAGAWISHA SI KAWAIDAAA
KILA MMOJA ALIKUWA BUSY AKICHUKUA PICHA
ILIKUWA SHANGWE NI VIDOLE VIWIWLI JUU
LINEX NAYE ALIKAMUA KINOMA NOMA
MSANII BEN POL AKIPAGAWISHA MASHABIKI
KALA JEREMIAH ALIPAGAWISHA SI KAWAIDAAA
KILA MMOJA ALIKUWA BUSY AKICHUKUA PICHA
ILIKUWA SHANGWE NI VIDOLE VIWIWLI JUU
LINEX NAYE ALIKAMUA KINOMA NOMA
No comments:
Post a Comment