Find us on facebook

Pages

Follow Me.

Saturday, June 22, 2013

SASA PANDA DALADALA ZENYE INTERNET YA BURE.NAJUA HUAMINI SOMA HAPO


Wengi wetu hatupendi zile vurugu za barabarani hususan asubuhi wakati kuna msongamano mkubwa wa magari, inakera na kuudhi. Lakini taswira imebadilika katika
uchukuzi wa umma siku hizi mjini Nairobi Kenya, unapokwenda kazini na kurejea nyumbani, unapata mtandao wa internet katika magari ya uchukuzi wa abiria maarufu kama matatu.
Ukiwa ndani ya Matatu hizo unaweza kusoma barua pepe na kusoma habari kwenye mitandao mbali mbali. 
BOFYA HAPO CHINI KUWEZA KUSIKIA SAUTI ZA ABIRIA WAKIZUNGUMZIA HILO JAMBO
http://www.bbc.co.uk/swahili/medianuai/2013/06/130621_wifi_matatu.shtml?bw=bb&mp=wm&bbcws=1&news=1

No comments:

Post a Comment