Hivi fikiria umeenda kwenye tamasha la muziki huku ukiangalia wasanii wanojiita kioo cha jamii unaona mambo kama haya yanatokea utafanyaje wewe kama wewe?
Wasanii mbalimbali Afrika kw ujumla wamekuwa na tabia za kucheza huku wakionesha sehemu zao za siri na maungo ya mwili huku wakijua hicho ndicho wanachotaka mashabiki.Suala hili kwa mtizamo wangu sio zuri na ni bora wakaacha mara moja.Natoa Rai kwa Watanzania wenzangu na Afrika kwa ujumla kuweza kukemea na kuchuka hatua juu ya tabia hizi mbovu za wasnii wetu hususani pale tendo hili linapojitokeza.
No comments:
Post a Comment