Thursday, July 18, 2013
Wednesday, July 17, 2013
PICHA YETU YA LEO UNAZIKUMBUKA ENZI HIZI KAMA WEWE UMEZIPITIA HASA WALE TULIOSOMEA VIJIJINI.
Sote tumetoka katika staili ya namna hii.wale wote ambao mlisomea shule tofauti na hizi hamna cha kusimilia juu ya hii picha.AMA KWELI POLE POLE NDIO MWENDO.Bila maisha ya hivi hata ukiwa kiongozi hautawajua ni kina nani wenye shida.Ila ninachojua mtu wa hivi apate nafasi ya kuwa kiongozi atawatetea wamyonge na masikini kwa sababu anajua ubaya na uzuri wake.
Tuesday, July 16, 2013
Thursday, July 11, 2013
MDAU:HAPPY BIRTHDAY ROBERT WILSON (BABA DEVIS)
MDAU KWA LEO ANASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA,WAFUATAO WNAMTAKIA MAISHA MAREFU NA YENYE BARAKA,AMANI ABDALLAH,FARID FAROUK,RICHALD CHALI,BIGILWAMUNGU ELPIDIUS,MUBAAH KATELA(THE BLOGGER),Pia BILA kumsahau mchumba wake ampendae MSUMBA NYAGANGA(MAMA DEVIS)
HONGERA SANA KIJANA WAHESHIMI BABA NA MAMA NA UMPENDE SANA MCHUMBA WAKO NA MTOTO WAKO PIA.
HONGERA SANA KIJANA WAHESHIMI BABA NA MAMA NA UMPENDE SANA MCHUMBA WAKO NA MTOTO WAKO PIA.
Wednesday, July 10, 2013
MAJINA YA WATAKAOINGIA KIDATO CHA TANO HAYA HAPA
Muhula wa kwanza kwa wanafunzi wa Kidato cha Tano kuanzia mwaka huu 2013 itaanza mwezi Julai.
Wanafunzi wamepangwa katika shule zenye miundombinu na walimu kwa masomo husika.
Aidha, kama baadae upungufu utajitokeza, wakuu wa shule wameelekezwa kufanya taratibu za kuazima walimu wa muda na kutoa taarifa kwa
Wanafunzi wamepangwa katika shule zenye miundombinu na walimu kwa masomo husika.
Aidha, kama baadae upungufu utajitokeza, wakuu wa shule wameelekezwa kufanya taratibu za kuazima walimu wa muda na kutoa taarifa kwa
Tuesday, July 9, 2013
Monday, July 8, 2013
HEBU CHEKI HIYO AJALI YA NDENGE MDAU WANGU
Ajali mbalimbali zimeendelea kutoka dunia hii ni Ajali ya ndege kutoka Asia kuelekea San Fransisco amabpo inasemekana katika Ajali hiyo vijana wawili wakichinma walipoteza maosha na Abiria 182 kujeluiwa Bfyya lnk hapo chini kucheki video hiyo.
http://online.wsj.com/article/SB10001424127887323823004578591422758092016.html?mod=world_newsreel#
http://online.wsj.com/article/SB10001424127887323823004578591422758092016.html?mod=world_newsreel#
BAADA YA KESI YAKE KUAHILISHWA LWAKATARE ASEMA HAYA
KATIKA UKURASA WAKE WA FACEBOOK AMESEMA KWAMBA "Nimshukuru Mungu kwa siku njema ya leo na kwa ajili ya watanzania wote.
Leo ikiwa ni siku ya case yangu kusikilizwa Mahakama ya Mkazi Kisutu, nimereport pamoja na makamanda walionisindikiza. Case imehairishwa mpaka tarehe 22 July 2013.
Pamoja na hayo,mshitakiwa no.2 Ludovick Joseph ameshindwa kupata dhamana kwa sababu ya kutokukamilika kwa nyaraka za dhamana,hata hivyo dhamana yake iko wazi.
Tukiwa nje ya mahakama,kijana Ludovick ameonekana kuwa mnyonge na kulia sana akilalamika kutojishughulisha kwa ndugu zake(ambao hawakufika mahakamani) kufuatilia dhamana yake.
Nawatakia kazi njema na tusichoke kulitumikia taifa.
Peopleeeeeeeeeeees!"
Saturday, July 6, 2013
VIDEO MPYA:BOB JUNIOR (SHAROBARO PRESIDENT) - KIMBIJI (By Dj G-Lover)
BOB JUNIOR AMETOA WIMBO WAKE MPYA AMABO ALIWAHI KUTOA VIPANDE VYAKE
Thursday, July 4, 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)


.jpg)













