Find us on facebook

Pages

Follow Me.

Sunday, May 19, 2013

PICHA ZA CCM WAKIWA DODOMA LEO.

 wajumbe wakiwa kwenye mkutano wanamsikiliza mwenyekiti wao wa chama Jakaya Mrisho Kikwete.
 Mh Mwiguru Nchemba akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar) Vuai Ali Vuai na Katibu wa NEC Oganaizesheni Dk. Muhammed Seif Khatib kwenye kikao hicho.

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwasili ukumbini wakati wa kikao chake na wabunge wa CCM, leo Mei 19, 2013, katika ukumbi wa jengo la White House, Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma
Mheshimiwa Rage Akiwa na Dk.Nchimbi wakiteta jambo.Rage ni mwenyekiti wa simba ambayo jana ilifungwa goli mbili  bila majibu na timu Ya Yanga Hasimu wao mkubwa.

No comments:

Post a Comment